Proverbs 1:8-9

Onyo Dhidi Ya Ushawishi Wa Marafiki Waovu


8 aMwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako,
wala usiyaache mafundisho ya mama yako.

9 bHayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako,
na mkufu wa kuipamba shingo yako.

Copyright information for SwhKC